Posts

Showing posts from September, 2018

MBASHA AMCHARUKIA SHILOLE KUHUSHU ADA YA MTOTO

Image
Kupitia ukurasa wa Instagram Msanii wa Wa nyimbo za Injili nchin Emmanuel Mbasha amemuibukia msani huyo wa Maigizo na Bongo Fleva kwa jina maarufu SHILOLO [shishi bay]na kudai hakusithili kuomba Ada ya mtoto wake aende shule kwani yeye amekua msanii mwenye Brand kubwa hivyo angeweza kupata hata kwa wasanii wezake kuliko yeye kuomba wakati nyuma kuna kundi kubwa la watoto wa watanzania ambao wangesaidiwa... ............................................ e.mbasha Habari za mda huu . Naandika kwa masikitiko makubwa sana juu ya watu wanaopenda kutumia vibaya huruma ya raisi wetu, haswa wasanii wa bongo movie. Jamani sera ya raisi wetu ni kila mtu afanye kazi na ndiyo maana slogan yake inasema "HAPA KAZI TU" Ukifanya kazi na kujituma kama sisi mbona maisha ni mazuri tu hapa Tanzania jamani, ila ukipenda mteremko ndiyo inaweza kuku cost 😁😁😁😁. Dada yangu Shilole, yaani juzi tu umepost bonge la jumba hapa kila mtu akafurahia na kukupongeza hadi mie nilikupongeza, japokuwa wiki...