Posts

Showing posts from August, 2019

KICHEKO HABARI YA MJINI 'MICRACY R BUKULU'

Image
                                                              MICRACY R. BUKULU M icracy Bukulu,ni mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Mwanza Tanzania anayefanya vizuri na wimbo wake wa YESU NI MZURI, sasa kuja na kibao chake kipya kinachotambulika 'KICHEKO' Amedai wimbo huu ameutunga baada yakupata mafanikio makubwa baada ya wimbo wake wa YESU NI MZURI kufanya vizuri kwenye RadiO,TV,na mitandao ya kijamii,wimbo huo tayari upo YOUTUBE anatumia jina la MICRACY R BUKULU waweza mpata kwa Huduma zaidi 0758 539153

MAAJABU 5 YA MASHABIKI WA MPIRA BONGO

Image