Msanii na muhandaaji wa mziki wa Injili tanzania Ben wiliam amefanya kitu kikubwa kwa kuonyesha huwezo wake wakuimba pia licha yakupiga kibodi,yamefanyika hayaa kwenye tamasha lililoandaliwa na msanii Boaz ndanken jijini mwanza kwenye ukumbi wa Nyerere hall Gold cast tazama hapa chini