KICHEKO HABARI YA MJINI 'MICRACY R BUKULU'

                                                             MICRACY R. BUKULU
Micracy Bukulu,ni mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Mwanza Tanzania anayefanya vizuri na wimbo wake
wa YESU NI MZURI,
sasa kuja na kibao chake kipya kinachotambulika 'KICHEKO'
Amedai wimbo huu ameutunga baada yakupata mafanikio makubwa baada ya wimbo wake wa YESU NI MZURI kufanya vizuri kwenye RadiO,TV,na mitandao ya kijamii,wimbo huo tayari upo YOUTUBE anatumia jina la MICRACY R BUKULU
waweza mpata kwa Huduma zaidi 0758 539153

Comments

Popular posts from this blog